Sunday, 19 October 2014

AWARDS::PRESIDENT KIKWETE OFFICIATES AT THE CNN MULTICHOICE AFRICAN JOURNALIST AWARDS GALA IN DAR ES SALAAM

the opening of  Gala Awards ceremony held at the Mlimani City 
Conference Centre, in Dar es Salaam on Saturday October 18, 2014.
  President Jakaya Kikwete,  Dr. Mary Michael Nagu. Minister of State for Investment
Commissioner  Hon Said Meck Sadick,  CEO MultiChoice Africa, Deborah Rayner (second right), SVP International Newsgathering TV and Digital, CNN International (right), stand at attention as the national anthem is sung.
 Part of the invited guests
 Invited guests
President Kikwete delivers his speech
Newsgathering TV and Digital, CNN International speaks
 Nico Meyer, CEO MultiChoice Africa
speaks 
 CNN International’s Isha Sesay co-host of  the
show
 Part of the invited guests
 Capital Television’s Frank Morandi co-host of the
show
 More invited guests
Award  honour after  Content Sales and  Partnerships, CNN International, made the presentation
 The attentive guests follow up the
proceedings
Award  presented with the trophy by   Ecobank Transnational Inc 
MEDIA ORTB Benin receives the trophy from  Co-Founder and Executive Chairman AllAfrica Global Media
MEDIA, Watan, Algeria, as  AllAfrica Global Media looks on after presenting the trophy
 CNN cameraman in action
Freelance for Landbouweekblad and The Mail & Guardian, South Africa,  the  AWARD, presented by  Public Affairs & Communications Manager, The Coca-Cola Company (left)  
The Nation Newspaper, Nigeria, winner of the  by  South Africa (left)
jailed Bheki Makhubu, of Swaziland
Makhubu after receiving the  from Ferial Haffajee, Chairperson of the 2014 Judging Panel (left)
receives the   PHOTOGRAPHIC AWARD, presented by  Media
Westgate attack in Nairobi, Kenya, are shown to the audience
speaks after accepting the    by  (left)
summons on stage his son Geoff Kihato to  share the glory of the   PHOTOGRAPHIC AWARD, presented by  Media
humbled as his son Geoff  Kihato receives the   from  Media
Susan Comrie, Mnet Carte Blanche, South Africa, receive the  AWARD, from   Financial Officer Africa
 The audience is glued as the cameramen are
busy
announces the winner of the  AWARD
for a little player after the announcement the he and Anne Mawathe have won
the  ITV
the  Msindisi Fengu the CNN MultiChoice African Journalists 2013
President Kikwete opens the envelope as CEO MultiChoice Africa, Deborah Rayner, SVP International Newsgathering TV and Digital, CNN International look on
MultiChoice Africa, Deborah Rayner, SVP International Newsgathering TV and Digital, CNN International look on
Kenyan journalist Joseph Mathenge  the top prize at this year’s CNN MultiChoice African Journalist 2014 Awards Ceremony held on Satuday night at the Mlimani City Conference hall in Dar es salaam. He has been honoured for  capturing the captivating images of Kenya, when the mall was attacked by unidentified gunmen in September 2013.
Mathege’s son, Geoff Kihato, also a photographer,  who helped his father capture the captivating images of   mall was attacked by unidentified gunmen in September 2013.
 The audience
Kenyan journalist Joseph Mathenge  the top prize at this year’s CNN MultiChoice African Journalist 2014 Awards Ceremony held on Satuday night at the Mlimani City Conference hall in Dar es salaam. Looking on is Mathege’s son, Geoff Kihato, also a photographer, who helped his father capture the captivating images of Kenya, when the mall was attacked by unidentified gunmen in September 2013.
Mathenge as President Kikwete, Mathege’s son Geoff Kihato and Deborah Rayner, SVP International Newsgathering TV and Digital, CNN International,  (partially hidden) look on.
Deborah Rayner, SVP International Newsgathering TV and Digital, CNN International, pose for  a group photo with Mathenge and son Geoff during the ceremony.
 The panel of judges being
introduced 
 Confetti rain of the panel of
judges 
 Confetti swallow the panel of
judges
 President Kikwete shakes hands with the panel of
judges
Isha Sesay co-host of  the show
Capital Television’s Frank Morandi co-host of the show
trophies at during the ceremony.
 Lady Jay Dee with her Machozi band
entertain
Mohamed Amin during the ceremony.
with the dignitaries during the ceremony.
Nayar and other guests as he takes his leave
Swaziland journalist Bheki Makhubu who received on his behalf the PRESS FREEDOM
AWARD
.
STATE HOUSE PHOTOS

Saturday, 18 October 2014

HATA KAMA IMEPITWA NA WAKATI jifunze::HAYA NDIO MAISHA YA MILLAD AYO MTANGAZAJI WA CLOUDS FM TOKA AMEZALIWA MPAKA SASA

Millard Afrael Ayo alizaliwa Arusha January 26 akiwa ni mtoto wa kwanza kwenye famili ya watoto wanne ya Afrael Ayo ambae ni mmeru wa Akheri Tengeru, ni mfanyabiashara na mama Mary Ayo ni mwalimu.

Baada ya mama yake mzazi kuona uharaka wa uelewa wa Millard, alimuanzisha shule akiwa mdogo sana na hatimae kumaliza elimu ya msingi akiwa na miaka 12 tu, akamaliza form four akiwa na miaka 16 mwaka 2002, sehemu zote hizo yeye ndio alikua mdogo kuliko wote darasani kuanzia Patandi Primary School Tengeru, Akeri Secondary School na Mbezi beach high school..........

https://fbcdn-sphotos-g-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash4/428464_520604864670993_48580956_n.jpg

Wakati akisubiri majibu, Millard alijiunga na Arusha College of Electronics na kusomea ufundi wa kutengeneza satelitte dish, tv deck na radio masomo ambayo aliyamaliza na aliyasoma kwa sababu ilikua ni kazi ya pili aliyoipenda, baada ya hapo mama yake mzazi alishawishiwa na marafiki zake ili Millard arudishwe shule kuendelea na masomo ya sekondari kitu ambacho alikikubali lakini hakikua na mapokezi mazuri kwa Millard kwa sababu yeye alihitaji kufanya kitu kingine kwa wakati ule.

Mambo yalibadilika pale uncle wake aitwae Gabriel aliekua Marekani aliporudi Tanzania na kumshawishi mama Millard amuache mtoto afanye kile anachotaka na anachokipenda, hapo ndipo Millard akapata nafasi ya kwenda kujiunga na East Africa Training Institute kusomea utangazaji na uandishi wa habari mwaka 2004.

Baada ya mwaka mmoja Millard alijiunga na TVZ Zanzibar kwa muda wa miezi mitano na akarejea Dar es salaam April 2005 kutafuta kazi baada ya hali kuwa ngumu kwenye familia na kukosa pesa kwa ajili ya kujiendeleza na masomo.

Alifanikiwa kupata kazi May 23 2005 kwenye kituo cha Wapo Radio 98.0 ambayo aliambiwa hatolipwa kwa sababu kanisa lililokua linamiliki radio hiyo halina pesa ila kwa sababu alikua na njaa ya maisha na kazi ilibidi aifanye kama ameajiriwa, kazi ilikua jumatatu mpaka jumamosi kuanzia saa mbili asubuhi huku kazi yake kubwa aliyopangiwa ni kukusanya habari za bei za bidhaa na hali ya usafi kwenye masoko Dar es salaam, pia kwenda kitengo cha MOI Muhimbili hospitali kuchukua habari za majeruhi na vifo vya ajali mbalimbali.

Kutokana na jitihada hizo Millard alianza kulipwa shilingi elfu tano kwa wiki mwezi wa pili baada ya kazi hivyo akawa na mshahara wa elfu 20 kwa mwezi, mshahara ambao uliongezeka na kufikia elfu 20 kwa mwezi kwenye mwaka wa tatu na wa mwisho akiwa Wapo Radio.

Baada ya hapo Millard alijiunga na ITV/Radio One mwaka 2008 ambako alisikika kwenye vipindi mbalimbali lakini MILAZO 101 na habari za michezo ITV ndio vilimpa umaarufu mpaka November 2010 alipojiunga na Clouds FM/TV na kuanza kusikika kwenye kipindi cha AMPLIFAYA december 6 2010 na baadae kukabidhiwa CLOUDS FM Top 20 June 2013.

Mpaka sasa Millard Ayo ni mmiliki wa tuzo 4 ikiwemo ya Mtangazaji bora 2006 kutoka Tanzania Radio Awards, Website bora 2012 kutoka Vodacom Tanzania na African Stars, na moja ni ya heshima akiwa mwandishi pekee kutunukiwa kutoka kwenye familia ya Marehemu mwigizaji Steven Kanumba.

Kipindi cha AMPLIFAYA pamoja na website yake ya millardayo.com ndio vilivyofanya ukubwa wa jina lake uongezeke.

Kitu ambacho watu wengi hawakifahamu, kipaji cha Millard Ayo kilionekana kwanza na aliyekua mtangazaji wa TBC1 Joseph Msami ambae kwa wakati huo ndio aliona uwezo wa Millard na kumshawishi boss wa Wapo radio kutoa ruhusa ya Millard kuingizwa studio kuwa mtangazaji na sio tena ripota.

Mtu wa pili ambae ndio alizidi kumnyanyua Millard kiutangazaji ni Godwin Gondwe ambae alimuona Millard toka akiwa Wapo Radio, kwanza ndio alikua mtu wa kwanza kumpa Millard dili la kurekodi tangazo la radio la bei kubwa 2007 toka ameanza utangazaji, lilikua la laki moja na nusu za Kitanzania na ndio ilikua pesa kubwa Millard kuwahi kulipwa kwa kazi ya mikono yake toka azaliwe, na ni pesa kubwa kuliko hata mshahara wake kwa mwezi wakati huo ambao ulikua shilingi elfu sitini.

Shukrani za pekee kwa Reginald Mengi, Joyce Muhavile, Julius Nyaisanga, Deogratius Rweyunga, Abdallah Mwaipaya na Isack Gamba ambao walikua kama wazazi/marafiki wakati Millard akiwa ITV, pamoja na kwamba kwa sasa hayupo ITV lakini urafiki wao haujaisha na Millard amekua balozi wao mzuri

Watu wengine waliomfikisha Millard hapa alipo kwa kiasi kikubwa ni Gardner G Habash ambae wakati Millard akiwa Wapo Radio alimsaidia sana kumpa nafasi ya kusikilizwa Clouds FM ambako alipata kazi ya kuanza na kipindi cha gospel lakini wiki hiyohiyo ndio akaitwa ITV, Reuben Ndege nae alicheza kwenye uwanja mkubwa zaidi kumsuka Millard Ayo alipojiunga na Clouds FM na alijaribu sana kumshawishi Millard kujiunga nao wakati akiwa Radio One, kiukweli siku zote amekua msaada mkubwa wakati wote na supporter mkubwa kwa Millard.

Sebastian Maganga ambae ni mkuu wa vipindi Clouds FM amekua msaada mkubwa sana kwa Millard Ayo, mshauri na hata ndugu ambae ni msikilizaji mzuri sana pale Millard anapozungumza nae na ndio alipendekeza Millard kuchukuliwa Radio One wakati huo.

Ruge Mutahaba amekua boss, kaka, mshkaji na mshauri wakati wote kwa Millard Ayo, kwa kiasi kikubwa pamoja na kwamba alitoa idhini ya Millard kujiunga na familia aliyokua anaipenda kwa zaidi ya miaka 10, amekua ni msaada mkubwa sana kwa Millard, kuna vitu vingi Millard alikua anasema hawezi lakini Ruge amempa neno na kumpa nguvu kwamba anaweza na ndio mafanikio ya Millard yameanza kuonekana hapo.

Big Boss Joseph Kusaga ambae ndio MD wa Clouds FM, nae amekua mshkaji, boss na kaka kwa Millard Ayo, nguvu ya neno lake kwamba ‘i’am proud of you’ pekee ndio linampa Millard Ayo nguvu kubwa ya kujituma zaidi na kutumia saa kadhaa kuandaa vipindi vyake siku zote na kujituma zaidi.

Halmashauri Kuu ya CCM ::WANAZUIA MAFURIKO KWA MIKONO

Joyce Kasiki,Dodoma

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Nape Nnauye amesema,kitendo cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ) kuzunguka Nchi nzima kuwashawishi wananchi kupinga katiba inayopendekezwa,ni sawa na mtu kuzuia mafuriko kwa mikono.

 Alisema itakuwa vigumu kwa  chama hicho kufanikiwa zoezi hilo kwani walitakiwa   kulishwishi kundi dogo la waliokuwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba ili kuzuia  theluthi mbili ya Zanzibar kupatikana huku akisema kuwa wakati wao wanaendelea kuzuia mafuriko kwa mikono ,CCM kinajipanga kuhakikisha kinashinda uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kura ya maoni ya kupitishabkatiba inayopendekezwa.

Nape alitoa kauli hiyo jana mjini hapa  wakatinakizungumza wakati na waandishi wa habari juu ya kikao cha Halmashauri kuu ya taifa ya chama hicho (NEC) .

"Kama nilivyosema,sisi tunajipanga namna ya kushinda uchaguzi wa Serikali za Mitaa,wakati wenzetu  wanajipanga kuzuia mafuriko kwa mikono ,sisi tunajipanga kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa.

"Lakini pia hawa Chadema wanasema watakwenda kupiga debe kujaribu kuzuia katiba inayopendekezwa isipite ,lakini mimi salamu zangu kwao,kama walishindwa kuzuia theluthi mbili bungeni ,mtaani hawataweza,wanaweza kuamua kupoteza muda ,

"Na kwa kweli wanapoteza muda sana kwa sababu katiba inayopendekezwa imebeba mambo mengi ya watanzania  ambao wapo tayari kuipitisha ,mimi ningedhani wangekuwa na akili nyingi wangepambana kuzuia ile theluthi mbili ya kila upande  isipatikane Bungeni  ,lakini waliposhindwa  ile  theluthi mbili,huku mtaani tutawashinda asubuhi ." alisema Nape

Vile vile Nape alisema kikao cha Halmashauri Kuu kimeweka mikakati ya kuhakikisha chama hicho kinajitegemea kimapato.

"Halmashauri kuu ilijadili sera ya chama ya kuwekeza kwa maana ya mikakati ya kukifanya kijitegemee kimapato na siyonkutegemea ruzuku,

Alisema wakati umefika kwamchama hicho ambacho ni kikongwe nchini kujitegemea kimaato kwa kutengeneza sera ya uwekezaji .

Alisema kuwa sera hiyo inalenga kuwa mwongozo wa kukifanya chama hiko  kianze  kuzitumia rasilimali zake katika kuzalisha ili kiweze kujitegemea kiuchumi.

“Kama inavyofahamika CCM ina rasilimali nyingi wakiwemo wanachama wake,viwanja na majengo ambavyo kwa pamoja vikitumika vizuri vitasaidia kukifanya chama kuondokana na utegemezi wa ruzuku na badala yake kujitegemea”alisema Nnauye.

Vile vile alisema  NEC pia ilifanya uteuzi wa wagombea kwa nafasi za Uenyekiti wa CCM katika Wilaya mbili ya Njombe na Misenyi pamoja na wagombea Ujumbe kwa NEC katika Wilaya tatu ambazo ni Tandahimba,Mkuranga na Njombe ambazo alisema nafasi zake zilikuwa wazi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufariki kwa viongozi waliokuwa wameshika nafasi hizo.

Nape aliwataja waluoteuliwa kugombea nafasi ya ujumbe wa NEC kuwa ni Lutavi Suleman,Malela Chibwana na Nanyundu Salum kutoka wilaya ya Tandahimba na Ally Msikamo,Khamis Zowage,Wakati Mtulia na Zawadi Kilapo kutoka wilaya ya Mkuranga.

Wengine ni Christian Fwalo,George Mng'ong'o ,Oscher Msigwa na Justin Nusulupia kutkka wilaya ya Njombe.

Aidha aliwataja  wagombea wa nafasi ya wenyeviti wa wilaya ya Njombe kuwa ni Edward Mgaya,Valence Kabelege na Betram Ng'imbudzi huku kwa wilaya ya njombe wagombea kuwa ni Sostenes Kabandwa,Said Seruh na Erica Kiiza.

SIASA:::Mzee Slaa - Kipofu kaona mwezi

Siku zote tunajua kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Bwana Wilbroad Slaa ni mtu mwongo, mnafiki na mzandiki ambaye moja ya sifa zake ni kupora na kuoa mke wa mtu.

Lakini sasa amekuwa kipofu aliyeona mwezi. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Alhamisi, alidai kuwa amefanikiwa kunasa ratiba ya Mhe. Rais Jakaya Kikwete kwenye safari yake ya China na kubwata mambo mengi kuhusu ratiba hiyo.

Tatizo langu mimi ni uongo wa Bwana Slaa kuwa ametumia mbinu zake kunasa ratiba hiyo. Kwa nini nasema kuwa kauli hiyo ya Slaa ni uongo na kuwarubuni wananchi.

Ukweli ni kwamba ratiba ya Mhe. Rais mahali popote siyo siri. Ni jambo la wazi kabisa ambalo linaafikiwa baada ya watu wengi kushirikisha katika maandalizi ya ratiba hiyo.

Hivi tunavyozungumza ratiba ya Mhe. Rais kwa ajili ya safari ya China imechapishwa tayari kwenye kitabu. Na siyo ratiba tu, delegation nzima ya nani Mhe. Rais anaambatana nao inajulikana, tena kwa majina na nafasi zao, kwa sababu hili siyo jambo la siri.

Sasa Slaa anavyowaeleza watu kuwa amefaniki kunasa undani wa ratiba ya Rais Kikwete kule China anajaribu kumdanganya nani? Huyu ni mtu ambaye anajaribu kuwa kiongozi wa Watanzania na bado hana aibu wala aya kuwadanganya Watanznia hao hao kwa jambo lililo wazi.
 Tabia hiyo inathibitisha dharau ya Bwana Slaa kwa sisi Watanzani. Ni mtu ambaye hafai kuwa kiongozi, kwa sababu kiongozi hawezi kuwa mtu mwongo na mzandiki. 
Na tumesikitishwa sana na waandishi wa habari, kwani wamekubali kulishwa kila kitu na tena bila kufikiria na kuuliza maswali wanaripoti katika vyombo vyao na kushiriki kuudanganya umma wa watanzania.

Friday, 17 October 2014

PATAMU HAPO::MAMA AMNG’ATA ULIMI ‘SERENGETI BOY’

Na Joseph Ngilisho, Arusha
HATARI! Katika hali isiyotarajiwa, mwanamke mmoja aliyefahamika kama Mama Abuu amefanya tukio la ajabu baada ya kumng’ata na kumkata ulimi kijana Paulo Simon mwenye umri wa miaka 18, kufuatia ‘Serengeti Boy’ huyo kukataa kufanya naye mapenzi katika eneo la Tindigani, Kimandolu mjini Arusha hivi karibuni.
Kijana Paulo Simon aliyekatwa ulimi na mwanamke mmoja anayefahamika kama Mama Abuu.
Akisimulia kwa kuandika kwenye karatasi, Simon ambaye sasa amelazwa katika Hospitali ya Mount Meru jijini hapa, alisema alikuwa akiuza baa katika eneo hilo wakati mwanamke huyo alipotokea na kukaa kaunta na kuanza kunywa pombe kama wateja wengine.
Alisema ilipofika saa 6:30 usiku wateja wengine wote waliondoka na kubakia mama huyo pekee, kitu kilichomfanya naye afunge baa. Lakini alipomaliza kufanya hivyo mama huyo alimfuata na kumweleza kuwa alihitaji kufanya naye mapenzi.
Kijana Paulo Simon(majeruhi) akiandika maelezo kwa Polisi kwa njia ya maandishi.
“Sikuwa na mazoea naye, nilipokataa kufanya naye mapenzi, alinisogelea na kunishika sehemu zangu za siri na kuanza kuzivuta, nilipopiga kelele akanishika kichwa na kunilazimisha ‘kunidendesha’, akafanikiwa kuingiza mdomo wake kwangu na kunikata ulimi wangu, akaondoka nao na kwenda kuutema karibu na mlango wa bar,” alisema Simon ambaye wahudumu wa hospitali hiyo wamelazimika kumwekea ndoo ili awe anatemea damu kutokana na kujaa mdomoni.
Alisema baada ya kukatwa ulimi ambao sasa unamletea maumivu makali, alifanikiwa kufika nyumbani kwake kabla ya tajiri yake kumchukua na kumpeleka hospitalini ambako amelazwa.
Jeshi la Polisi mkoani hapa limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba mtuhumiwa ameshatiwa mbaroni huku uchunguzi ukiwa unaendelea. Hali ya majeruhi inaendelea vizuri.