Twiga wa hifadhi ya Ruaha Iringa |
Watalii wa ndani wakiingia katika nyumba za kulala wageni hifadhi ya Ruaha |
Moja kati ya nyumba ya kulala wageni hifadhini hapo |
Tembo akiwa kando ya mto Ruaha mkuu hifadhi ya Ruaha |
Clement Sanga akitazama moja kati ya gari la kitalii |
Hii ni ndege ndogo ya kulinda hifadhi hiyo dhidi ya majangili |
Tembo na mwanae |
Twiga akila matawi ya miti huku akiwa amelala |
Ni maeneo yanayovutia zaidi |
Swala wa hifadhi ya Ruaha |
Kiboko katika mto Ruaha |
Ndege wa kuvutia |
No comments:
Post a Comment