August 24, 2014
MWIGULU AMSIMIKA KAMANDA WA UVCCM MKOA WA IRINGA
NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA, MH. MWIGULU NCHEMBA AKIMSIMIKA KAMANDA
 WA UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM), MKOANI IRINGA SALIM ASAS, KATIKA 
VIWANJA VYA MWEMBETOGWA..
MWENYEKITI WA UVCCM MKOANI IRINGA, TUMAINI MSOWOYA NA MWENYEKITI 
MWENZAKE WA MKOA WA KATAVI, WILLIAM MBOGO WAKIJADILI JAMBO WAKAZI WA 
ZOEZI LA KUMSIMIKA KAMANDA WA UVCCM IRINGA SALIM ABRI
VIONGOZI WA UVCCM KUTOKA MIKOA MBALI MBALI WALIKUWEPO..ILIKUWA BURUDAAANI1...
MWENYEKITI WA UVCCM MKOANI IRINGA TUMAINI MSOWOYA KIBIKI, MWENYEKITI WA 
UVCCM MKOANI KATAVI, WILLIAM MBONGO NA KATIBU WA UVCCM WILAYANI MUFINDI 
KANTALA, MAMBO YALIKUWA YAKIENDA SAWIA WAKATI KAMANDA ASAS AKIAPISHWA
KATIBU WA UWT MANISPAA YA IRINGA CHIKU MASANJA NA MNEC WA MBEYA JIJI 
WAKILI, SAMBWE SHITAMBALA NDANI YA VIWANJA VYA MWEMBETOGWA KUSHUHUDIA 
SALIM ASAS, KAMANDA WA UVCCM MKOA WA IRINGA AKISIMIKWA RASMI 
MH MWIGULU NCHEMBA, NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA, AKISAINI KITABU CHA 
WAGENI KWENYE OFISI YA CCM MKOA WA IRINGA....KABLA YA KUANZA SHUGHULI 
RASMI...
KAMANDA ASAS AKIWA MAKINI KUSIKILIZA KINACHOJILI MKUTANONI
SAFARI NI SAFARI...TUNAENDA ENEO LA MKUTANO..WA KWANZA KUSHOTO; TULA TWEVE MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI UVCCM MKOA WA IRINGA
PICHA ZOTE NA FRANK KIBIKI
KAMANDA WA UVCCM MKOA WA IRINGA, SALIM ABRI  AMEAPISHWA RASMI KUANZA 
KAZI YAKE YA UKAMANDA IKIWA NI KIPINDI CHA TATU KUANZA KUTUMIKIA NAFASI 
HIYO.
VIJANA WANAMPENDA SALIM ASA KUTOKANA NA UTU WAKE, MAPENZI YAKE YA 
DHATI KWA CCM, UPENDO WAKE, USHAURI, UALIMU NA ULEZI WAKE USIOJALI 
ITIKADI, RANGI, DINI, KABILI, MASKINI WALA MATAJIRI..
UDUMU SALIMU ASASI.
 
No comments:
Post a Comment