Tuesday 16 September 2014

SIJUI::NYWELE ZA WANAUME(za kichwani) HUOTA HARAKA KULIKO ZA WANAWAKE.

Wanawake tunauwezo wa kufuga nywele zetu zikawa ndefu kweli kweli kwa wale waliojaaliwa nywele zinazokuwa upesi.Lakini ukweli ni kwamba nywele za wanaume zinakuwa upesi kuliko za wanawake.Ndio maana kila wiki lazima waudhurie saloon.Nywele ni body tissue inayokuwa upesi kuliko yoyote katika mwili wa binaadamu.

No comments:

Post a Comment