Saturday, 6 September 2014

NA WEWE UNAJIITA KAMANDA KISA KAKI>>>NA HAO JE????

RAIS KIKWETE AONGOZA UFUNGAJI WA ZOEZI LA MEDANI LA MAADHIMISHO YA MIAKA 50‏

Posted by GLOBAL on September 6, 2014
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi (wa tatu kushoto) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pili kushoto) , Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto kwa Rais) , Mnadhimu Mkuu wa JWTZ ,  Luteni  Jenerali  Samwel Ndomba Kamanda wa vikosi vya Ardhini wa  JWTZ  Meja Jenerali Salum Kijuu, na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Magesa Mulongo (kushoto) katika picha ya pamoja na Makamanda wakuu wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ katika eneo la Langarurusu, Monduli, mkoani Arusha Septemba 5, 2014
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi (wa tatu kushoto) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pili kushoto) , Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto kwa Rais) , Mnadhimu Mkuu wa JWTZ ,  Luteni  Jenerali  Samwel Ndomba Kamanda wa vikosi vya Ardhini wa  JWTZ  Meja Jenerali Salum Kijuu, na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Magesa Mulongo (kushoto) katika picha ya pamoja na Wakuu wa majeshi wastaafu. 
Aliyeketi wa kwanza kushoto ni Jenerali Mirishoarakikya, CDF wa kwanza wa jeshi hilo. waliosimama nyuma toka kushoto ni  Jenerali Robert Mboma, Jenerali George Waitara na Mnadimu Mkuu Mstaafu Luteni Jenerali Martin Mwakalindile baada ya ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya jeshi hilo
 Mkuu wa majeshi wa kwanza Jenerali Mirisho Sarakikya akipongezwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati wa kupiga picha za kumbukumbu.  Kulia ni Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akifuatiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi (wa tatu kushoto) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pili kushoto) , Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto kwa Rais) , Mnadhimu Mkuu wa JWTZ ,  Luteni  Jenerali  Samwel Ndomba Kamanda wa vikosi vya Ardhini wa  JWTZ  Meja Jenerali Salum Kijuu, na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Magesa Mulongo (kushoto) katika picha ya pamoja na   Majenerali mbalimbali
 Picha ya pamoja na Wakuu wa vikosi vilivyoshiriki zoezi  la ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya jeshi hilo
 Picha ya pamoja na Wakuu wa vikosi mbalimbali
 Wakuu wa vikosi mbalimbali vya infantria vya JWTZ
 Na Wakuu wa vikosi vya mizinga
 Kumbukumbu na Wakuu wa vikosi vya vifaru
 Picha na Viongozi wa vikosi vya Wahandisi medani
 Picha na Wakuu wa vikosi vya mawasiliano
 Picha ya pamoja na Maafisa wa ngazi mbalimbali washiriki wa zoezi
 Na Makamanda mbalimbali walioshiriki zoezi hilo
 Kumbukumbu na Makamanda mbalimbali walioishiriki zoezi
      Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt Hussein Mwinyi (wa tatu kushoto) , Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa pili kushoto) , Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto kwa Rais) , Mnadhimu Mkuu wa JWTZ ,  Luteni  Jenerali  Samwel Ndomba Kamanda wa vikosi vya Ardhini wa  JWTZ  Meja Jenerali Salum Kijuu katuika picha ya kumbukumbu na  Maafisa na askari walioshiriki zoezi
 Picha ya kumbukumbu na  Maafisa na askari walioshiriki zoezi

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na Maafisa na askari wa kike
  Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapongeza  Maafisa na askari wa kike kwa kushiriki vyema zoezi hilo
 Makamanda walioongoza sherehe hizo kwa weledi wa hali ya juu
 Amiri Jeshi Mkuu na Makamanda wakisimama swawa wakati Wimbo wa Taifa unapigwa
 Saluti toka kwa makamanda wakuu
 Comrades in arms
 Amiri Jeshi Mkuu akiagana na Kamishna Jenerali wa Magereza Afande John Minja ambaye alihudhuria sherehe hizo pamoja na  Kamishina Mkuu wa Idara ya Uhamiaji, Bw. Sylvester Ambokile (mwenye tai nyekundu)
 Amiri Jeshi Mkuu akiagana na Naibu Inspekta Generali wa Polisi Afande Abdulrahman Kaniki
Vicheko na bashasha vinatawala wakati Amiri Jeshi Mkuu anapoondoka eneo la Langarurusu huko Monduli, Mkoa wa Arusha,  baada ya kuongoza zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ  lililofana sana

HABARI MAHSUSI:::HAYO NDO MAAMUZI YA DR.MWAKYEMBE JUU YA AJALI ZA JANA...

 Maamuzi ya Waziri Mwakyembe baada ya ajali iliyoua 39 Musoma

breaking news 
Jana September 5 2014 kwenye eneo la Sabasaba hapa Musoma ilitokea ajali mbaya sana ya mabasi mawili yakiwa na abiria na kulihusisha gari jingine dogo ambapo majeruhi ni zaidi ya 70 na waliofariki ni 39 Wanawake kwa Wanaume kwa mujibu wa taarifa mpya za vifo zilizotoka muda mfupi uliopita.
Kwa kuguswa na tukio hili waziri wa uchukuzi Dr. Harryson Mwakyembe ilibidi aahirishe ratiba zake nyingine na kulazimika kuja Musoma kuwatembelea majeruhi leo asubuhi kwenye hospitali ya mkoa pamoja na kwenda kwenye eneo la ajali kutazama.
Baada ya hapo Waziri Mwakyembe akaongea na millardayo.com na kueleza yafuatayo >> ‘Inabidi niwape pole Watanzania wote ambao wamepoteza ndugu jamaa na marafiki, taarifa za ajali nimezipata nikiwa Dodoma kwenye bunge maalum ikawa sasa nitafikaje haraka Musoma kwa hiyo ikabidi nitafute ndege leo asubuhi kuja hapa’
62Kuhusu Wasanii wa bongofleva na Clouds Media Group kufanya maamuzi ya kuahirisha tamasha ambalo lilikua lifanyike jana hapa Musoma, Waziri Mwakyembe amesema >> ‘hii imenifurahisha sana… inaonyesha Utanzania tulionao Watanzania, ni vizuri wamefanya hivyo na ninawapongeza sana Clouds Radio kwa kuguswa na maswala ya jamii’
‘Ajali sasa hivi Tanzania zimechukua nafasi ya yale magonjwa tunayoyaogopa hasa kwa kuchukua maisha ya watu na kujeruhi na kuiingizia serikali gharama kubwa ya matibabu, hatuwezi kuliangalia hili swala hivihivi mimi kama Waziri wa uchukuzi nimewaambia wenzangu kuanzia sasa Watanzania wataona mabadiliko makubwa’ - Dr. Mwakyembe
75
Katikati ya hili eneo kunakoonekana watu wengi ndio sehemu tukio lilipotokea, ni sehemu ambayo dereva aliekua anatokea huku na mwingine anaekuja walikua wanaonana wazi kabisa na haikuwa usiku.
  1. Tunaanza na hawa waliopata ajali, nimeelekeza na najua vyombo vinavyohusika Polisi pamoja na SUMATRA watatekeleza… kwanza kuzifungia kampuni za haya mabasi ya J4 na Mwanza Coach wasijihusishe na usafirishaji wa abiria tena, hatuwezi kuwa tunapata ajali za kijingajinga namna hiyo, nimeliona eneo lenyewe liko wazi kabisa lakini ni watu tu wameamua, dereva wa huku anamuona mwenzake na kusema mimi lazima anipishe’ – Dr. Mwakyembe
  2. Tumeelekeza Wafanye uhakiki wa madereva wao wote na tunahitaji picha zao lakini vilevile tunahitaji mikataba ya kazi, hatutaki mabasi ya kupeleka abiria yaendeshwe na watu tu kwa majaribio, nataka ushahidi wa kila dereva kwamba amejiunga na hii mifuko ya akiba ya Wafanyakazi, tuone kabisa mchango wa Mwajiri na mfanyakazi kila mwezi’
  3. Nimeagiza lazima tuangalie BIMA ya hiyo gari, unajifikiria mwenyewe tu ukipoteza gari ulipwe kidogo gari yako lakini hufikirii kuhusu binadamu…. bila comprehensive haendeshi mtu gari kuchukua abiria