Wananchi wakisaidiana kuokoa mali za Msikiti wa Mtambani mara baada ya kushika moto uliowahi kuzimwa.
Kikosi cha zimamoto kikiwa eneo la tukio kutoa msaada.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa eneo hilo la tukio.
(PICHA ZOTE NA DAR ES SALAAM YETU BLOG)
(Picha hii ni wakati msikiti huo ulipoungua mara ya kwanza Agosti 13, mwaka huu)
MSIKITI wa
Mtambani uliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam umeungua tena kwa moto
leo mchana. Hii ni mara ya pili msikiti huo kuungua kwa moto baada ya
ile ya awali ya Agosti 13 mwaka huu. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio
hilo, chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme.
No comments:
Post a Comment