NAYE ALIKUWA RAIS...
Rais
wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere 'Steve Nyerere'
ametangaza kujiuzulu cheo hicho kupitia ukurasa wake wa instagram.
Amedai kuna mpango mbaya dhidi yake hivyo akaona bora ajiengue pasipo
kufafanua zaidi.
No comments:
Post a Comment