Thursday, 14 August 2014

KWA WANAOPENDA MICHEPUKO TU....JIBU HILI HAPA..wengine kimyaaa

Dawa Salama ya Kudhibiti Michepuko Hatimaye Yapatikana

posted on Thursday, August 14, 2014

Dunia ina mambo Kampuni moja ya nchini Japan imedai kufanikiwa kutengeneza midoli ya ngono ‘sex dolls’ yenye muonekano halisi wa mwanamke ambayo huwa na ngozi ya mwili kama ya binadamu na macho kama ya ukweli. Mdoli wa ngono Orient Industry imesema ni ngumu kuitofautisha midoli hiyo na msichana halisi pale unapoitazama kwa mara ya kwanza.

Midoli hiyo imepewa jina la ‘Dutch Wives’, na matangazo ya midoli hiyo yanasema kuwa iwapo mwanaume akifanya nayo mapenzi hawezi kumtamani mwanamke halisi tena. Bei ya midoli hiyo ni £1,000 ( zaidi ya shilingi milioni 2.7) kwa kila mmoja. Midoli hiyo imetengenezwa kwa kuweka viungo ambavyo vinamfanya mtumiaji kuigeuza katika
position atakayo.

CHANZO: Daily Mail