Sunday, 14 September 2014

HIVI KNOCK OUT ATAPIGA LINI??>>MAYWEATHER AMCHAPA TENA MAIDANA

Floyd Mayweather (kushoto) akimtupia konde mpinzani wake Marcos Maidana.
Maidana akijibu mashambulizi wakati wa pambano hilo.
...Mayweather akimshambulia mpinzani wake.
Mayweather akiwasili katika Ukumbi wa MGM Grand Garden jijini Las Vegas kwa pambano hilo.
Bondia Floyd Mayweather amemchapa tena mpinzani wake Marcos Maidana katika mpambano wao uliopigwa kwenye Ukumbi wa MGM Grand Garden jijini Las Vegas, Marekani na kumalizika hivi punde.

No comments:

Post a Comment