Friday, 12 September 2014
MWANADEMOKRASIA WA LEO::Picha aliyoiweka Rais Kikwete twitter baada ya kukutana na Wapinzani na alichoandika?
Baada ya kukutana na viongozi wa vyamba mbalimbali vya upinzani Tanzania na kuzungumzia ishu ya bunge la katiba, iliamuliwa kwamba katiba ya zamani ndio itakayotumika kwenye uchaguzi mkuu ujao ila itafanyiwa marekebisho.
Kwenye ukurasa wake wa twitter President JK ambae alikua hajaandika chochote toka Aug 6 2014, aliweka hiyo picha hapo juu ikimuonyesha kwenye mkutano na viongozi hao na kuandika >> ‘Mazungumzo na Wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dodoma, Septemba 8, 2014. Demokrasia ni majadiliano’
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment