ELIMU BORA::MAZINGIRA MABOVU YA UTOAJI ELIMU
Mwalimu wa shule ya msingi Nyiboko wilaya ya Serengeti akifundisha
wanafunzi wa darsa la tano wakiwa wamekaa chini,juu hakuna paa
pamoja na mazingira haya mnanielewa?
Wanafunzi wa darasa la nne na sita shule ya msingi wa Nyiboko wilaya ya
Serengeti wakiwa wamekaa darasa moja kwa ajili ya kusoma ,pamoja
kutokana na kukosa vyumba vya madarasa.
wanashindwa kumfuatilia mwalimu
No comments:
Post a Comment