Monday, 6 October 2014

HUYU NDO MWANAMKE KIKONGWE ZAIDI

Leandra-Becerra-Lu_3022415c

EANDRA Becerra ambaye ndiye mwanamke mzee zaidi kuliko wote Duniani kwa sasa,ametimiza umri wa miaka 127.Becerra ambaye ni raia wa Mexico amebaki na mtoto mmoja tu  kati ya sita aliokuwa nao,Bibi huyo ambaye anatembelea baiskeli ya miguu miwili kutokana ya kuwa awezi kutembea vizuri,kulingana na maelezo ya mwanae bibi huyo anatumia muda mwingi kulala na afya yake iko vizuri tu.Kulingana na tuzo za Guinness kwa sasa inashikiliwa na Jeanne Louise wa Ufaransa ambaye aliishi mpaka miaka 122.

No comments:

Post a Comment