Thursday 28 August 2014

HAWA NDO WAKIMBIZI WA DARFUR KWA MIAKA 10 ZAIDI

HAWA NDO WAKIMBIZI WA DARFUR


Hamisa akiwa katika kambi ya Hassa Hissa Darfur 2007
MUONE BIBI ALIVO,KISA SIASA UCHWARA..

Hamisa akiwa bado katika kambi hiyo  Hassa Hissa Darfur 2014
MUONE BIBI HAMISA AKIWA BADO KAMBINI

Amina akichungulia dirishani
AMINA AKICHUNGULIA DIRISHANI


Haja akiwa amembeba mjukuu wake
BIBI NA MJUKUU WAKE

Yusuf akiwa katika kambi ya Aslam 2014
MKIMBIZI AKIWA KAMBIN





Kambi ya Zinglei
KAMBINI HAPO




Viongozi wa jamii wakizungumza kwa simu ya mkononi
VIONGOZI WA JAMII WAKIZUNGUMZA KWA SIMU YA MKONONI

Kinyozi katika kambi ya Khamsa Dagiag iliyoko Darfur
HAPO NDO SALOON...

Mkimbizi akijenga nyumba ya kudumu ya matofali katika kambi ya Hamadia Kusini mwa Darfur
KIJANA AKIJENGA NYUMBA




No comments:

Post a Comment