Saturday 9 August 2014

Picha 5 za ajali ya kuungua kwa basi la 5 Aliance leo

1bs

Hili ni basi la kampuni ya 5 Aliance ambalo linafanya safari zake kati ya Mtwara na Dar es salaam limeungua asubuhi ya August 09 likitokea Mtwara kuelekea Dar es salaam.
Taarifa ya awali inasema kuwa hakuna abiria aliyepata madhara yoyote juu ya kuungua kwa basi hili ambalo limeteketea kijiji cha Mihambwe mkoa wa Lindi.

5bs
Basi likiungua hapo
4bs
Add caption


3bs
2bs
Kabla ya moto