PENZI LA LUPITA NYONG’O NA K’NAAN SASA LIVE BILA CHENGA
Wapenzi hawa walihisiwa kuwa wana uhusiano wa kimapenzi tokea mwezi wa tisa mwaka jana, ila walikuwa wakijificha sana na hatimaye juzi kubambwa live wakishikana mikono na mabusu teletele hadharani.
Wakali
hawa wanaoiwakilisha Afrika vizuri hawana sababu tena ya kuficha
mapenzi yao, hivyo wengine tubaki kulia na kuwapa sapoti zote
watakazohitaji kwani kazi zao zinakubalika.


No comments:
Post a Comment