Tuesday 12 August 2014

UNADHANI HII NYUMBA NI YA MSANII GANI HAPA BONGO??????

t23


 Ni utaratibu wa millardayo.com kukupa vitu nje ya habari, karibu kwenye post ya nyumba leo ambayo inakupa nafasi ya kupata ideas ya kujenga au kubadili kwa kufanya chochote kwenye nyumba unayoishi au unayojenga.
Sio kila mmoja ana uwezo wa kujenga nyumba kama hizi lakini upo uwezekano wa kuchukua idea ndogo na kuifanyia kazi kama Sebule, madirisha, jiko, meza, viti, ngazi na mipangilio mingine ya nyumba.









t8



t10



t12



t15



t17



t19



t21