Friday 15 August 2014

WAPENDANAO HAWAACHANI.....WANAGOMBANA TU..Hutaki angalizia

Gardner G. Habash Apangua Madai ya Kuachana na Mke wake Lady Jay Dee

Written  on Friday, August 15, 2014 
Mtangazaji Maarufu Gardner G. Habash  Ambae pia ni Mume wa Mwanamuziki Lady Jay Dee Amezipangua Tuhuma ambazo zilienea Kwenye Mitandao Week iliyopita kuwa ndoa yao haipo tena, Gardner Amesema kuwa watu wanaunganisha unganisha matukio na kutunga yao ila si kweli kwamba wameachana...

Si mara ya kwanza kwa mastaa hao kudaiwa kutibuana kwani walisharipotiwa kutaka kutengana lakini mara nyingi huwa wanakaa chini na kuyamaliza kimyakimya.