Tuesday 16 September 2014

HASARA KWA NANI::WAFANYABIASHARA MUSOMA WAGOMA

Hayo ni baadhi ya maduka ya wafanyabiashara wa Musoma yaliyofungwa.
Maduka ya dawa yakiwa yamefungwa pia.
Wafanyabishara Musoma wamegoma kuendelea na biashara wakishinikiza T.R.A kurekebisha mashine  za kodi.

No comments:

Post a Comment