Tuesday 16 September 2014

UNAMTAKA YUPI HAPO::MABINTI WA PRESIDENT OBAMA


Malia na Sasha wamekuwa hao wakati baba yao anaingia madarakani walikuwa madogo.Kingine naona ni vile warefu maana baba na mama warefu watoto watazidi Malia naona kashampita mama yake tayari kwa urefu.

No comments:

Post a Comment