Sunday 14 September 2014

HATARI SANA::JE HII NI SAWA! MTAZAME BODA BODA HUYU


Mbeya yetu iliinasa hii Kasumulu, Jamaa akiwa amebeba mzigo Sasa hapa mdau wetu unasemaje kuna usalama kweli na Je anaonaje huyu jamaa hapa?  na ukitazama picha hii utagundua  Abiria ndiye anaye mtazamia  .Na kwa sheria za Barabarani hivi ndivyo mizigo inatakiwa kubebwa?

Picha na Mbeya yetu

No comments:

Post a Comment