Tuesday 9 September 2014

TANZANIA BILA AJALI HAIWEZEKANI:::MWANAMKE AGONGWA NA LORI HADI KUFA..SAMAHANI KWA PICHA.

AJALI

Mwili wa mwanamke mmoja ambaye hakufahamika jina lake baada ya kukanyagwa na lori na kupoteza maisha.


 
Msamalia mwema akiufunika mwili wa mwanamke huyo.



Baadhi ya wananchi wakiwa eneo la ajali.

 MWANAMKE  mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepoteza maisha baada ya kukanyagwa na lori lenye namba za usajili T277 CLY JANA katika maeneo ya Mbezi Tanki Bovu, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment