HUYU NDO Irene UWOYA MWENYEWE...Hataki KUVAA............
Irene Uwoya Chizi , Asema Apendi Vazi Linaloitwa Chupi aka Kufuli
Udaku Specially on Saturday, August 16, 2014
Mrembo na staa wa filamu nchini Irene
Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a
kufuli. Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya
burudani ya VIBE.
Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo
kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake, “Chupi –
sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya. Hatari sana hii....