RAIS KIKWETE AKIONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU DODOMA.
MWENYEKITI WA CCM RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA DODOMA
Mwenyekiti
wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa
Bunge Maalumu la Katiba Mhe Samwel Sitta, alipowasili kuongoza kikao cha
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwenye
ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Dodoma Agosti 19, 2014. Kulia ni
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,
(Utawala Bora), Mhe George Mkuchika akifuatiwa na Mkuu wa Mkoa wa
Dodoma Dkt Rehema Nchimbi
Mwenyekiti
wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu
ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwenye ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya
CCM Dodoma Agosti 19, 2014. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM
(Visiwani) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein.Kulia ni Makamu wa CCM (Bara) Ndg Philip Mangula
akifuatiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana
Mwenyekiti
wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa katika Uwanja wa
ndege wa Dodoma na Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana, Mkuu wa
Mkoa wa Dodoma Dkt Rehema Nchimbi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa Dkt Emmanuel Nchimbi
Mwenyekiti
wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na wajumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mbunge wa Songea mjini Dkt
Emmanuel Nchimbi, Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Mbunge
wa jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagama, na Naibu Waziri wa Fedha na
mbunge wa Iramba Magharibi Mhe Mwigulu Nchemba