Gardner G. Habash Apangua Madai ya Kuachana na Mke wake Lady Jay Dee
Mtangazaji Maarufu Gardner G. Habash
Ambae pia ni Mume wa Mwanamuziki Lady Jay Dee Amezipangua Tuhuma ambazo
zilienea Kwenye Mitandao Week iliyopita kuwa ndoa yao haipo tena,
Gardner Amesema kuwa watu wanaunganisha unganisha matukio na kutunga yao
ila si kweli kwamba wameachana...
Si mara ya kwanza kwa mastaa hao kudaiwa
kutibuana kwani walisharipotiwa kutaka kutengana lakini mara nyingi
huwa wanakaa chini na kuyamaliza kimyakimya.