1. STEVE JOBS
Inawezekana komputa za Mac na bidhaa nyinginezo kama iPhone zisingekuwepo kama Steve Jobs angebakia chuo.
2. Bill Gates
Moja wa watu walioacha chuo Harvard na wamefanikiwa na ni tajiri mkubwa
duniani. Mwanzilishi wa Microsoft. Kauli aliyoitoa kwenye mahafali pale
Harvard mwaka 2007 alisema ” Mimi ni mshawishi mbaya ndio maana mmeniita
niongee wakati wa mahafali. Ningeongea wakati wa kuanza masomo yenu ni
wachache sana mngekuwepo hapa.”
3.Frank Lloyd Wright
Mbunifu mkubwa wa vyuo vingi marekani lakini hajawahi kuhudhuRia hata
kimoja. Ingawa Frank Lloyd Wright alichaguliwa kwenda chuo cha
Wisconsin-Madison mwaka 1886, lakini aliacha baada ya mwaka mmoja.
4. Buckminster Fuller
Bwana Huyu alifukuzwa Harvard mara mbili lakini ni mtu ambaye
amefanikiwa sana na kuleta mawazo mapya katika ulimwengu huu. “He was
expelled from Harvard twice: first for spending all his money partying
with a vaudeville troupe, and then, after having been readmitted, for
his “irresponsibility and lack of interest.”
5. James Cameron
Muongozaji maarufu wa filamu za Hollywood aliyetengeneza filamu nyingi
za kubuni na za kisayansi na zenye gharama kubwa zikiwemo Titanic na
Avatar.
6. Mark Zuckerberg
Mwanzilishi wa mtandao wa Facebook na aliyekuwa mwanafunzi wa Harvard.
Baada ya Facebook kuanza kupata umaarufu aliamua kuacha chuo.
7. Tom Hanks
Mwigizaji maarufu aliyeamua kuacha chuo Sacramento State na kujiunga
na Great Lakes Theater Festival kule Cleveland, Ohio. Huko akajifunza
vitu vingi kumfikisha kuwa moja ya waigizaji na watengeneza filamu
maarufu huko Hollywood.
8. Harrison Ford
Jamaa hut=yu aliacha chuo pale Ripon College siku chache kabla ya kumaliza. Ni moja ya watu waliofanya vitu vikubwa kwenye filamu za Star wars miaka 1977.
Jamaa hut=yu aliacha chuo pale Ripon College siku chache kabla ya kumaliza. Ni moja ya watu waliofanya vitu vikubwa kwenye filamu za Star wars miaka 1977.
9. Lady Gaga
Kabla ya kuwa Gaga, alikuwa anaitwa Germanotta. alizaliwa na Stefani
Joanne Angelina Germanotta, msanii ambaye kwa sasa anaitwa Lady Gaga
alianza kusoma New York University’s Tisch, Shule ya Usanii na baada ya
hapo aliacha chuo baada ya mwaka mmoja na kuanza uimbaji wake pale New
York club na kuweza kusaini mkataba wake na Interscope Records akiwa na
miaka hiyo hiyo 20.
10. Tiger Woods
Mtu maarufu katika mchezo wa golf, baada ya miaka miwili aliacha kusomea
uchumi pale Chuo cha Stanfold, kwa sasa analipwa zaidi ya dola milioni
100 kwa mwaka.
Chanzo cha habari (Time)
Kwa
wasomaji wetu sijasema uache chuo ila fikiria kwa kina utaleta tofauti
gani kwa kile unachofanya, na je mafanikio yako umelenga kwenye nini? Je
unaweza KUjifunza kitu gani kutoka kwa hawa watu?
No comments:
Post a Comment