Tuesday, 9 September 2014

Kisirani Champonza Lulu Michael…Tajiri Wa Madini Ammwaga



Star wa filamu nchini aliyejaaliwa mvuto wa  kipekee, Lulu Elizabeth Michael anadaiwa  kutodumu na mwanaume sababu ya kuendekeza ubabe na kutaka kum-control mwanaume anayekuwa naye.

Inadaiwa Lulu hataki mchezo, mwanaume akishakuwa nae basi lazima ahakikishe hafurukuti. Taarifa  zinadai  kuwa miezi ya  hivi karibuni alikuwa na jamaa mmoja mdogo kimapenzi akammwaga na baada ya muda akawa anatoka na tajiri mmoja wa madin toka Arusha lakini tajiri huyo alinyoosha mikono juu baada ya Lulu kama kawaida kuruhusu majeshi yake yam-control jamaa huyo. 

Chanzo kimoja kikizungumza  kwa  sharti  la  kutotajwa  jina kimesema:

 ” Lulu ni mtu mwenye kisirani kwa wanaume, hadumu nao, wengie wanaokuwau nae ni wale wavumilivu sana. Nadhani ana matatizo ambayo yanahitaji mtaalam wa saikolijia ya mahusiano, akizinguliwa tu hachelewi kuvunja simu na kurejesha kila kitu alichokuwa amepewa

No comments:

Post a Comment