Kama
ulifatilia shindano la Miss Tanzania 2014 weekend iliyopita utakua
unajua kilichotokea na kinachoongelewa ikiwa ni baada ya baadhi ya watu
kupinga au kutoridhishwa na matokeo ya mshindi aliyetangazwa ambae ni
Sitti Mtemvu mtoto wa mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu.
No comments:
Post a Comment