'MJUSI' WA TANZANIA AMBAYE MABAKI YAKE YALITOROSHEWA UJERUMANI
August 26, 2014
UKIACHANA na Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro
na hata madini ya Tanzanite, je, wajua kuwa Tanzania ina utajiri ambao
ungekuwa kivutio kingine kwa watalaa nchini.
Kivutio hicho kama kingekuwa hapa nchini ni
mabaki ya wanyama aina ya mijusi wakubwa wa walioishi mamilioni ya
miaka iliyopita (waitwao dinosaurs) hapa nchini ambaye alichukuliwa na
kupelekwa na wakoloni huko Ujerumani? Sehemu ambako mabaki hayo yamehifadhiwa
Mabaki hayo mjusi yalipatikana mwaka 1912 na kusafirishwa kwenda
kuhifadhiwa Ujerumani enzi zile za ukoloni. Hivi leo serikali ya
Tanzania inafanya michakato ya kuirudisha hifadhi yetu hiyo na mazugumzo
yanaendelea. Mjue ni mjusi wa aina gani na amehifadhiwa mahali gani?
No comments:
Post a Comment