Sunday 14 September 2014

KAWAIDA TU:::PICHA ZA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA ENEO LA JKT MLALAKUWA JIJINI DAR


Ajali mbaya imetokea jana alfajiri katikati ya madaraja mawili ya chuma yaliyoko katika eneo la Kawe pembeni ya kambi ya JKT Mlalakuwa, Dar es Salaam.
Ajali hiyo imesababisha dereva kupoteza maisha na kuacha vipande vya ubongo vikining'inia katika moa ya mdaraja hayo baada ya gari hilo aina ya Toyota Celica GTR lenye namba za usajili T220ABL kugonga na kisha kuingia kwenye ukingo wa daraja hilo na kisha kutumbukia kwenye mto.

No comments:

Post a Comment