Monday 15 September 2014

SAFU MPYA YA UONGOZI WA CHADEMA KWA MIAKA MITANO IJAYO

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe (katikati) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Bara, Profesa Abdallah Safari (kulia) na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed (kushoto) mara baada ya kuibuka kidedea katika uchaguzi mkuu jana.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee, Hashim Juma Issa.
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA), Halima James Mdee.
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA), Paschal Katambi Katrobas.

No comments:

Post a Comment