Monday 15 September 2014

WHAT A SHOW:::Picha za Serengeti Fiesta Tabora,Dudubaya nae ndani.

101fsttbr
Ahadi yangu kwa wewe msomaji wa millardayo.com ni kukupatia list ya mikoa iliyofanya vizuri kwenye msimu wa Serengeti Fiesta 2014 bado ipo pale pale,ingawa kuna muda hua inanichanganya.
Tabora siku yao rasmi ya burudani ilikua ni September 14 ambapo kwenye uwanja wa Al Hassan Mwinyi walijikusanya aisee Tabora mmeandika tena records ya mahudhurio mengi uwanjani.
September 14 Tabora walipata nafasi ya kumuona Dudubaya ambaye alipanda kama kuwasalimia mashabiki wake kisha akakumbushia wimbo wake mmoja kila mmoja alifurahi kumuona na alishangiliwa sana Dudubaya.
Hizi nibaadhi ya picha mtu wangu ambazo unaweza kushare na washkaji waone walichokifanya Tabora,Nuh na Shilole baadae walipanda wakaperfoam pamoja ilikua poa sana.
110fsttbr
109fsttbr
108fsttbr
106fsttbr
100fsttbr
87fsttbr
90fsttbr
92fsttbr
93fsttbr
98fsttbr
99fsttbr
86fsttbr
85fsttbr
79fsttbr
78fsttbr
76fsttbr
75fsttbr
65fsttbr
67fsttbr
68fsttbr
70fsttbr
71fsttbr
64fsttbr
61fsttbr
59fsttbr
56fsttbr
54fsttbr
53fsttbr
45fsttbr
47fsttbr
43fsttbr
41fsttbr
38fsttbr
37fsttbr
35fsttbr
28fsttbr
22fsttbr
21fsttbr
18fsttbr
14fsttbr
3fsttbr
5fsttbr
7fsttbr
8fsttbr
10fsttbr
12fsttbr
1fsttbr

No comments:

Post a Comment