| msafara wa Kiana ukiwasili uwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa |
| Wana CCm wakiwa na mabango katika mkurtano wa Kinana jimbo la Iringa mjini |
| Kamanda wa UVCCM mkoa wa Iringa Salim Asas kushoto akiwasilia na katibu mkuu Bw Kinana kulia |
| Kinana akiwasili uwanja wa Mwembetogwa leo |
| Umati wa wananchi na wanaccm waliofika kumsikiliza Kinana |
| wananchi jimbo la Iringa mjini wakimsikiliza katibu mkuu wa CCM |
| Aliyekuwa mmoja wa makada wa Chadema Kalenga akirejesha kadi ya chadema |
| Kinana kulia akiwa katika mkutano wake leo mjini Iringa kulia kwake ni Mnec Iringa Bw Madenge |
| Umati wa wananchi mjini Iringa |
| Kinana akiwahutubia wananchi wa Iringa mjini leo |
No comments:
Post a Comment