![]() |
| Hongereni sana vijana wa Forest kwa mfano huo Mbeya yetu tunawapongeza sana tunaomba vijana wa kata nyingine igeni mfano huu siyo kila siku tuwategemee Halmashauri ya jiji waje watufanyie usafi |
![]() |
| Pia vijana hawa wanawashukuru wadau mbalimbali waliojitokeza kuwasaidia vifaa vya kufanyia kazi pamoja na maji ya kunywa |
![]() |
| Baadhi ya Vijana wa kata ya Foret wakiwa katika picha ya pamoja |












No comments:
Post a Comment