Saturday, 6 September 2014

HII NDO BIG RESULT NOW(BRN):WATOTO ZAIDI YA 300 WAFUNDISHWA NA MWALIMU MMOJA ASIYE NA TAALUMA YA UALIMU

Baadhi ya watoto wa shule ya msingi Ishungu wakiwa katika picha ya pamoja na mwalimu wao

Mwalimu Laiton akiwa na wanafunzi wake muda wa mapumziko

Watoto wakiwa darasani

Mwalimu Laiton akiwa akiwafundisha wanafunzi wake waliochanganyika madarasa kutokana na uhaba wa madarasa

Choo hiki hutumika na zaidi ya watoto 300 wa jinsia zote

Baadhi ya wazazi na viongozi wa kijiji
Wananchi wa Kijiji cha Maendeleo Kata ya Ruiwa wameiomba Serikali kuingilia kati hatma ya shule ya Msingi ya Kijiji hicho kutokana na uhaba wa walimu na madarasa ya kusomea.
Wakionge na Mbeya yetu kwa masikitiko baadhi ya wazazi walisema uongozi wa Kijiji hicho umeshindwa kuiendeleza shule hiyo licha ya kukusanya fedha kutoka kwa wananchi na wafugaji Kijijini hapo.
Jason Halinga mmoja wa wazee maarufu Kijijini hapo alisema kuwa yeye ana watoto sita wanaosoma shuleni hapo wanaosoma darasa la kwanza hadi la sita wakifundishwa na Mwalimu mmoja tu aliyefahamika kwa jina la Laiton Ngoli.
Mwalimu huyo aliyeanza kufundisha mwaka 2007 hajawahi kulipwa mshahara wowote licha ya kufundisha kila siku ingawa wazazi wamekuwa wakijitahidi kuchangia shilingi elfu moja kwa kila mwanafunzi lakini wamekuwa wakilipa baadhi tu.
Mmoja wa wafugaji aliyefahamika kwa jina la Kuzenza Mtogambuli alisema yeye amechangia zaidi ya shlingi laki sita kwa ajili ya ununuzi wa mbao na mabati kwa madaasa mawili yanayotumiwa na wanafunzi wa shule hiyo.
Kwa upande wake Mwalimu Laiton Ngoli alisema kuwa mbali ya changamoto za madaasa shule hiyo haina nyumba ya mwalimu wala maliwato na kufanya baadhi ya watoto kujisaidi vichakani.
John Kalikumoyo aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Ijumbi alisema kuwa shule hiyo ilipata kibali cha kujengwa mwaka 2013 lakini fedha zilizochangwa na wananchi hazionekani zilipo hali inayowakatisha tamaa wazazi.
Uchunguzi umebaini shule hiyo ina zaidi ya watoto 320 wanaosoma kwa kubadilishana madarasa hayo mawili na Mwalimu Ngoli anafundisha darasa la awali hadi darasa la sita ingawa watoto wa darasa la nne na darasa la sita wamesajiliwa shule ya msingi Ruiwa.
Kutoka shule hiyo ya Maendeleo Ishungu watoto hutembea umbali wa kilometa zaidi ya nane na hali inakuwa mbaya wakati wa masika ambapo watoto hushindwa kuhudhuria masomo kutokana na mto Gwili kujaa maji.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Maendeleo Charles Mkisi alisema kuwa wameanza kuchimba msingi  kutokana na fedha zilizochangwa lakini changamoto kubwa ni ukosefu wa ushikiano na Viongozi wa Kata ambapo wanakosa msaada wa usimamizi wa majengo hayo ambapo wameishia kuchimba msingi tu.
Kwa upande wake Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya Regimius Ntimaya alisema kuwa atafuatillia suala hilo.

Na Ezekiel Kamanga 
Mbeya yetu

Lundenga na Miss Tanga Wazichapa Kisa Mchepuko, Lundenga Akamatwa...

KW/RB/8441/2014 imemshikilia Mwenyekiti wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga kwa madai ya kuzichapa na Miss Tanga 1997, Mona Faraja ambaye pia ni mke wake na kumsababishia majeraha, Risasi Jumamosi lina ‘full’ stori.

Ishu hiyo iliyonyakwa laivu na majirani ilijiri usiku wa Jumatano iliyopita maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar, nyumbani kwa Lundenga wakati wawili hao walipokuwa wamepumzika baada ya mihangaiko ya mchana kutwa.Kwa mujibu wa mtoa habari wetu, wakiwa wanabadilishana mawazo, mara simu ya Lundenga iliita na ndiyo chanzo cha mtafaruku, upi huo?

TUJIUNGE NA CHANZO
Mtoa habari wetu alisema kuwa, tatizo lilikolea mara baada ya simu hiyo kuita mfululizo kwa namba ngeni iliyodaiwa kuwa ni ya ‘kichenchede’ cha pembeni huku bosi huyo akiwa hana mpango wa kuipokea.

“Mke wa Lundenga alikuwa na shauku ya kujua nani anayepiga simu ya mumewe muda huo na kwa nini mumewe haipokei lakini wakati akiendelea kujiuliza ndipo ikaingia meseji ambapo inadaiwa Lundenga alikwenda ‘fasta’ kwenye inbox na kuifutilia kwa mbali.

“Kitendo cha kufuta SMS hiyo nacho  kilitibua kabisa hali ya hewa, Mona akataka kujua kwa nini mumewe alikuwa hataki kupokea simu na SMS iliyoingia ilitoka wapi? 
“Mona akawa mkali baada ya kuona haridhishwi na majibu ya mumewe ndipo alipoanza kutoa maneno yenye shutuma kwa mzee mzima ambapo naye uvumilivu ulimshinda kama binadamu wengine, wakaanza kutwangana,” kilisema chanzo hicho.

MKE AWAHI POLISI
Chanzo hakikuwa tayari kuweka ‘fullstop’, kiliendelea kumwaga mchele kwenye kuku wengi kuwa, baada ya mke kuona anazidiwa kwa kushushiwa makonde mazito yaliyomvimbisha uso, usiku huohuo  alikimbilia Kituo cha Polisi Kawe, Dar kumripoti mumewe.

POLISI WAMKAMATA LUNDENGA
Mara baada ya mke kumaliza malalamiko yake kituoni hapo, saa chache baadaye polisi walifika nyumbani wakiwa na difenda ambapo walimchukua mlalamikiwa huyo hadi kituoni kujibu madai hayo.
“Polisi hawakuwa na maneno mengi, walipofika nyumbani walimkamata Lundenga na kwenda kumlaza kituoni kwa ajili ya hatua nyingine za kisheria,” kilisema chanzo.

MAJIRANI WANENA
Baadhi ya majirani waliolitambua sakata hilo walionesha kushangazwa huku wakimhurumia Mona ambaye alikuwa ameumia usoni, hususan mzunguko wote wa jicho la kushoto.

MKE AINGIWA NA HURUMA
Wakati gazeti hili likiwa katika hatua za mwisho kuelekea mitamboni, Mona alidaiwa kuingiwa na huruma kwa kitendo cha kumlaza mumewe kituoni hivyo alikwenda kwa lengo la kumfutia mashitaka.

“Mke alimuonea huruma mumewe licha ya kupewa kipondo maana wamedumu kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 10 sasa, si mchezo. Alikwenda Kawe kufuta kesi lakini polisi wakamkomalia kwamba ishu lazima ifike mahakamani,” kilisema chanzo.

Mwandishi wetu alifika kituoni hapo na kukuta polisi na Mona wakiendelea na mazungumzo lakini hadi tunakwenda mitamboni, Lundenga alikuwa bado anashikiliwa kituoni hapo.
GPL

AJALI AJALIIII....MSAFARA WA MAALIM SEIF WAPATA AJALI.

September 6, 2014
Moja ya gari ambalo lilikuwa kwenye msafara wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Katibu Mkuu wa Cuf, Maalim Seif Sharif Hamadi baada ya kupata ajali, Misungiwi, Mwanza leo.
Hili ni gari lingine ambalo lenye usajili namba T397ANU nalo lilihusika katika ajali hiyo leo.
Keria ya moja ya magari yaliyopata ajali ikiwa chini baada ya kufyatuka baada ya ajali.
Baadhi ya wananchi wakishuhudia msafara wa Maalim Seif, mara baada ya ajali.
Msafara wa Maalim Seif ukijiandaa kuondoka mara baada ya magari mawili kati ya saba yaliyokuwa kwenye msafara kupata ajali.
Katibu wa CUF Wilaya ya Nyamagana, Rehema Mwenda amejeruhiwa na kupelekwa Hospitali ya Rufaa Bugando (kulia) na muonekano wa gari (kushoto) baada ya ajali katika wilaya ya Misungwi, jijini Mwanza.
Mkuu wa kitengo cha habari Wilaya, Mh Shido ambae pia ni Mwenyekiti wa Mtaa Utemini Kata ya Mirongo amejeruhiwa na kupelekwa Hospitali ya Rufaa Bugando.
Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamadi.
Habari zinasema msafara wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sharif Hamadi umepata ajali ukihusisha magari mawili ya msafara wa kiongozi huyo ambayo jumla yake yalikuwa saba yalipogongana na lori lenye tela.

Akizungumza na mtandao huu, Mkurughenzi wa Habari wa CUf, Adam Kambaya alisema  Viongozi wawili wa CUF, katibu wa wilaya ya Nyamagana na mwenyekiti wa mtaa wa Nyamagana  ambao hakuwataja majina wamelazwa katika Hospitali ya Bugando kwa matibabu zaidi.

HIVI HILI NI BASI AU BOKSI>>TASWIRA YA AJALI MUSOMA SIKU YA JANA

Posted September 6, 2014

Basi la Kampuni ya J4 EXPRESS lenye nambari za usajili T 677 CYC lililokuwa likitoka Musoma kuelekea Kilari Mkoani Mara likiwa limeumia vibaya sana baada ya kugongana uso kwa uso na Basi lingine la Kampuni ya MWANZA COACH lenye nambari za usajili T 736 AWJ katika eneo la SabaSaba, Mjini Musoma mchana siku ya jana.

Basi la Kampuni ya MWANZA COACH lililokuwa likitokea Musoma kwenda Mwanza linavyoonekana baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Kampuni ya J4 EXPRESS.
Hali Ilikuwa hivi katika eneo la tukio lililotokea ajali ya mabasi hayo kupata ajali baada ya kugongana.

Umati wa watu ukiwa umekusanyika kwenye eneo hilo lilikotokea ajali hiyo mbaya na kusababisha watu 39 kupoteza maisha papohapo.
Gari likiwa ndani ya mto baada ya kutokea ajali.

Guldoza likifanya kazi ya kuichomoa gari ndogo aina ya Nissan Terano lenye namba ya usajili T 332 AKK lililosukumwa na basi hilo mpaka kuingia mtoni. Gari hili ilikuwa na watu watatu, ambapo wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa.

Sehemu ya waokoaji waliofika kwenye tukio hilo.

Wanausalama wakijadiliana jambo kwenye eneo hilo la tukio.

Baadhi ya mizigo ya abiria wa mabasi hayo wakiwepo waliopoteza maisha.

Hivi ndivyo uokozi namna ulivyokuwa ukiendelea baada ya ajali kutokea.

  Polisi wakitoa miili ya watu wawili waliokuwemo kwenye gari hiyo.

MATUKIO YA AWALI YA AJALI HIYO ILIYOTOKEA MKOA WA MUSOMA NA ZAIDI YA ABIRIA 25 KUPOTEZA MAISHA.

Mabasi hayo yakiwa yamegongana
Baadhi ya miili iliyofariki katika ajali hiyo.

Basi la J4 Express lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza Coach lililokuwa linatoka Mwanza kwenda Musoma. Ajali imetokea katika eneo la daraja la sabasaba.

Pigo Jingine Bunge Maalumu la Katiba, Linapoelekea Sipo Kabisa

Kuna dalili hali si shwari ndani ya Bunge Maalumu la Katiba baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman kujiuzulu ujumbe wa Kamati ya Uandishi wa Katiba inayopendekezwa.

Habari za uhakika zilizopatikana jana bungeni mjini Dodoma, zinaeleza kuwa kigogo huyo wa SMZ amemwandikia barua Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta akimwarifu juu ya uamuzi wake huo.

Kamati hiyo ndiyo moyo wa Bunge hilo katika kuandika vifungu, ibara na sura za rasimu kulingana na mapendekezo ya kila kamati na baada ya majadiliano na mwisho inawajibika kuandika Katiba itakayopendekezwa kwa wananchi kwa ajili ya kupigiwa kura ya maoni.

Kujiengua kwake ni pigo kwa Bunge Maalumu, kwani kunapunguza uhalali wa Katiba itakayopendekezwa kwani Othman akiwa Mwanasheria Mkuu wa upande huo wa Muungano ndiye anayepaswa kuwa kinara wa kulinda masilahi ya Zanzibar wakati wa uandishi wa Katiba inayopendekezwa.

“Ni sahihi kwamba nimejiuzulu…hizo sababu ndiyo siwezi kukutajia maana kwa mujibu wa taratibu za Bunge Maalumu zinapaswa kuzungumzwa na Mwenyekiti maana barua yangu ya kujiuzulu anayo yeye,”alisema Othman alipozungumza na gazeti hili kupitia simu yake ya mkononi jana.

Mshitakiwa wa Ugaidi Aonyesha Alivyolawitiwa na Polisi Mahakamani

MMOJA wa watuhumiwa wa ugaidi katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI) Zanzibar, Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), amevunja ukimya mahakamani baada ya kuonyesha suruali ilivyolowa kwenye makalio akisema ni madhara ya kulawitiwa na kuingizwa miti na polisi.
Mshtakiwa huyo, Salum Ally Salum, aliamua kufanya hivyo jana ili kuithibitishia mahakama kile walichodai ni unyama waliotendewa na polisi wakati wakihojiwa.

“Mheshimiwa hakimu, angalia (anageuka na kuinua suruali katika eneo la makalio), haya ndiyo madhara niliyopata kwa kuingiliwa nyuma na kuingizwa jiti,” alidai.

Baada ya mshtakiwa huyo kuzungumza, Hakimu Hellen Riwa alimshauri kutoa taarifa kwa uongozi wa Magereza ili aweze kupata matibabu ya haraka kwani akiendelea kukaa hivyo anaweza kupata madhara makubwa.

Thursday, 4 September 2014

NA HUYU VIPI TENA...ATATIBIWA LINI???

TAFAKURI YA KATUNI HIYO...

TAFAKURI YA KATUNI HIYO...

TAFAKURI YA KATUNI HIYO...

NANI MNAFIKI HAPO...Mke wa Rafiki yangu Katolewa Mimba na Rafiki Yangu

Yaani kwa kweli mambo ya hii dunia ni ya ajabu na siku zote umdhaniae ndie kumbe sie kwa kweli, kuna rafiki yangu ambaye kwa kweli si kama tuna urafiki sana lakini ni rafiki maana tunaheshimiana nae sana na familia zetu zinafahamiana kwa kuwa tumejuana kibiashara na si mambo mengine.

Mme ndiye ambae ninafanya nae kazi ingawa mkewe namfahamu kwa kuwa ni sehemu pia ya msimamizi wa biashara za huyo mwanaume. Jana nilikua na appointment na rafiki yangu ambae ni daktari na ana hospitali yake.

Sasa wakati hiyo jana naingia nikakutana na huyo mdada ambae ni shemeji yangu, tuka salimiana nikamuuliza vipi hospital akasema ameenda kumcheki rafiki yake basi nikampotezea. 

Sasa kumbe yule rafiki yangu dokta alituona nikiongea nae, nlipofika kuzungumza na dokta maana namjua tabia zake si za kistaarabu maana ni mdhaifu sana kwa wanawake, katika story akaniambia amemtoa mimba ya wiki3.

Jamani mimi nimempokea Yesu na nilimueleza dokta swala alilofanya ingawa ni rafiki yangu, lakini kitu kingine ni kwamba mume wa huyu dada yuko nje ya nchi tangu july 21 na atarudi mwishoni mwa mwezi huu kama mambo yataenda sawa ila hii inamaanisha mkewe si mwaminifu kwa ujauzito wa wiki3. 

je, nina haja ya kumwambia awe makini na mke wake kwakua si mwaminifu?
By bomouwa

Lunch Time inavyotumiwa na Wafanyakazi Wanandoa Kuchepuka

Usije ukajidanganya kumuona mumeo au mkeo eti anarudi nyumbani mapema na weekend hatoki ukadhani uko salama.

Sasa hivi ile lunch time kuanzia saa saba mpaka nane huko maofisini ibilisi anakuwa ameshika usukani, ikizingatiwa sasa kuna mahotel mazuri pande kariakoo, manzese, magomeni zile zinakuwa zimejaa ikifika muda huo, wake za watu na waume za watu wanakuwa wanacheza mechi za kirafiki watch out.

Hili halina ubishi

JOHARI: BADO NIPO NIPO SANA

Posted by GLOBAL on September 4, 2014
Na Imelda Mtema
MKONGWE kwenye kilinge cha sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amewataka mashabiki wake wajue kwamba, muda ukifika wa kupata mume wa kufunga naye ndoa, atafanya hivyo lakini kwa sasa anatoa kipaumbele kwenye kazi tu.
Mkongwe kwenye kilinge cha sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’.
Akizungumza na Amani, Johari ambaye umri wake upo juu ya miaka 30, alisema watu wengi wanafikiri kuwa ndoa ndiyo kila kitu katika maisha lakini kwa upande wake bado hajaifikiria.
“Kitu ambacho nakiamini mimi ni kwamba ndoa kama nimepangiwa na Mungu ipo na itaendelea kuwepo haijalishi hata kama nitafikisha miaka hamsini,” alisema  Johari

SHISHI KASEMAA:::HUYU NDO ANAYEMLIZISHA KIMAHABA NIUEEEE....hutaki toa USHAHIDI

Shilole Afunguka 'Mpenzi Wangu Nuhu Ndio Anayenitibu Vizuri Wengine Big Noo'

Na Imelda Mtema
STAA wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungua kinywa chake na kusema mpenzi wake wa sasa, Nuh Mziwanda ndiye anayemtibu vizuri kunako ‘sita kwa sita’ japokuwa watu wengi wamekuwa wakiudharau mwili wake.

Akizungumza na gazeti hili bila kung’ata maneno, Shilole alisema wengi wanashindwa kujua kwamba mtu anaweza kuwa na mwanaume mwenye umbo kubwa lakini akawa hayajui mapenzi lakini mwenye umbo dogo kama Nuh, akawa ni bingwa wa mapenzi.

Akiendelea kumwaga data mbele ya kinasa sauti cha Amani, msanii huyo anayetamba na wimbo wa Nakomaa na Jiji alisema kuwa katika mapenzi, umri wala ukubwa wa umbo hauna maana yoyote.

“Yaani kwa kweli Nuh ananimudu na tunaenda sawa katika suala zima la mapenzi, kwa hiyo sioni udogo wake kwangu, kwa upande wangu Nuh ni mkubwa sana watu wasiangalie mwili,” alisema Shilole pasipo kutaja umri wa mpenzi wake huyo.

Shilole aliongeza kuwa, kutokana na mahaba ya nguvu anayoyapata kutoka kwa mpenzi wake huyo, anapata nguvu ya kufanya kazi vizuri siku hadi siku hivyo hapati tamaa.
“Sina stress za mapenzi na mara nyingi nafanya kazi zangu zinaenda sawa kabisa,” alimalizia Shilole.
GPL

WAJUE WAVUMBUZI WA KIMAENDELEO DUNIANI....ILA MWAAFRIKA MMHH...

WAJUE WAVUMBUZI WALIOIBADILISHA DUNIA KIMAENDELEO

Posted by GLOBAL on September 4, 2014
Bell Henry aliyetengeneza boti ya mvuke.
BELL HENRY: Huyu alitengeneza boti ya mvuke mwaka 1812 iliyotumika kusafiria kwenye maji. Mfalme wa Bahari mpaka sasa ni boti. Jiulize: Mbona shilingi inazama ikiwa kwenye maji? Katafute ni jinsi gani boti zinatengenezwa na ufumbuke kiuwerevu. Hata huku kwetu Tanzania tuna Azam Ferry, boti zinazotupeleka Zanzibar na kwengine. Shukrani zote zimwendee mkubwa huyu aliyefariki mwaka 1830.

Maandishi kwa ajili ya wasioona yaliyogunduliwa na Braille.
BRAILLE: Kipofu huyu aligundua maandishi ya watu wasioona. Huyu aliubadilisha ulimwengu ‘mweusi’ na kuupa shule ya mwangaza. Waliopatwa na upofu baadaye hawakuwa na tatizo katika kupata digrii (shahada) hata bila ya uwezo wa kuona. Hivi sasa teknolojia hiyo inataka kuhamia kwenye simu za vipofu pia. Soma zaidi kwenye mtandao wa Google ujionee. Hapa nakuwekea picha ya simu uelewe kitakachokuja kwenye simu kuhusiana na Braille. Kwa kifupi, Braille alizaliwa Januari 4 mwaka 1809 na kufariki Januari 6 mwaka 1852.

Davy Humphry aliyevumbua balbu.
DAVY HUMPHRY: Huyu alivumbua balbu zote zinazotumika duniani kutoa mwanga wa umeme katika karne ya 18 ambapo aliunganisha waya mbili kutoka kwenye betrii mpaka kwenye ncha ya hewa ya kaboni.

Peter Durand aliyevumbua  chombo cha kuuzia vyakula kwenye makopo.
PETER DURAND: Huyu alivumbua chombo cha kuuzia vyakula kwenye makopo ambavyo hukaa kwa muda mrefu bila kuharibika. Vyakula hivyo kwa Kiingereza huitwa ‘canned food’ yaani vyakula vilivyowekwa kwenye makopo kama vile maharage, nyama, njegere, na kadhalika. Uvumbuzi huu ulikuwa mwaka 1810 ambapo uliwapa shida watumiaji kuzifungua bidhaa hizo kwenye makopo hayo hadi mwaka 1858 ambapo (can opener)yaani kifungulio cha makopo hayo kilipotengenezwa kwa mara ya kwanza na Ezra Warner mwenyeji wa Connecticut, Marekani.

Josephine Garis mmoja wa waliovumbua mashine ya kuoshea vyombo (dish washer).
JOEL HOUGHTON NA JOSEPHINE GARIS: Hawa walivumbua mashine ya kuoshea vyombo (dish washer).

COENRAAD JOHANNES VAN HOUTEN (1801-1887): Huyu ni Mdachi (raia wa Uholanzi) aliyetutengenezea mashine ya kukobolea cocoa na kuanzisha biashara ya chokoleti duniani.

Froebel ambaye ndiye mwasisi wa shule za watoto chini ya miaka mitano. 
FROEBEL, WILHELM: Alikuwa mwasisi wa shule za watoto chini ya miaka mitano (chekechea a.k.a shule za vidudu) huko Ujerumani.
Alifungua shule ya kwanza huko Bad Blankenburg (karibu na Keilhau) mwaka 1837. Hata hivyo, serikali ya Ujerumani ilizifunga shule zote za chekechea, kwa sababu zisizojuolikana, kwa miaka tisa tokea mwaka 1851 hadi 1860 ambapo ziliruhisiwa tena.