Hatimaye Jacklie Cliff Amehukumiwa Kifungo Jela-Huu Ndio Muda Atakao Kaa Jela
Thursday, August 14, 2014
Kama wengi Mjuavyo Kuwa Mrembo wa Bongo
Jack Cliff alikamatwa China Mji wa Macau kwa Tuhuma za Kubeba Madawa ya
Kulevya , Sasa mpya kutoka huko zinasema Kesi ya mrembo huyo imesomwa na
Amehukumiwa Kifungo cha Miezi Sita Gerezani.
Chanzo cha habari hiyo hakijatoa maelezo
ya kutosha kwanini iwe miezi sita tuu na wakati tunasikiaga kuwa huko
adhabu kwa makosa kama hayo ni kali sana na hufikia hata
kunyongwa....tutaendelea kufuatilia na kukuletea habari kamili ...