Thursday, 11 September 2014

HATARIII:::WANAFUNZI WA SHULE MBALI MBALI IRINGA MJINI WAKITAFUTA KITOWEO CHA SAMAKI MTO RUAHA MKUU

Wakati  wanafunzi wa darasa la saba nchini  wakiendelea na mtihani wao wa mwisho  leo kwa ajili ya kuhitimu elimu ya msingi  , wanafunzi hawa kutoka shule mbali mbali za mjini Iringa  walikutwa  wakitafuta  kitoweo cha samaki katika tope kando kando ya mto Ruaha kuu mjini  hapa kama  walivyokutwa na kamera ya matukiodaima.co.tz uvuvi ambao ni hatari kwa usalama  wao  pia kutokana na baadhi ya maeneo hayo  kuwa na kina kirefu 
Uvuvi wa  samaki kwa  kutumia neti katika mto Ruaha  mkuu mjini Iringa ukiendelea uvuvi ambao ni hatari kwa usalama  wao  pia kutokana na baadhi ya maeneo hayo  kuwa na kina kirefu 
Watoto hawa ambao ni wanafunzi kutoka shule za msingi mbali mbali mjini  Iringa  wakitafuta  samaki katika mto  Ruaha mkuu mjini hapa uvuvi ambao ni hatari kwa usalama  wao  pia kutokana na baadhi ya maeneo hayo  kuwa na kina kirefu

No comments:

Post a Comment