04.09.2014
Marehemu Loveness Ndibalema Enzi za uhai wake
Mwili wa Marehemu ukiwa Unaingia katika makaburi ya Saba saba Mbeya.Baadhi ya wachezaji wa Tanzania Prisons wakiwa wanapeleka mwili wa Marehemu katika Makaburi ya Sabasaba Mbeya
Mtumishi wa Mungu akiwa anaomba kabla ya kuanza Ibada Fupi ya Mazishi
Mtumishi wa Mungu ambaye pia ndiye aliyekuwa akiongoza ibada ya mazishi akisoma neno na kutoa mahubiri mafupi
Watu mbalimbali waliofika kwa ajili ya kumsindikiza Marehemu Loveness Ndibalema wakati wa mazishi
Wa
kwanza Mbele kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akiwa
na Kamanda Mkuu wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi aliye nyuma ya Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya wakiwa katika Mazishi hayo.
Mwili wa Marehemu ukiwa unaingizwa katika Nyumba yake ya mileleMtumishi wa Mungu aliyekuwa anaongoza Mazishi hayo akiweka Mchanga katika kaburi ishara ya kumzika Marehemu
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akiweka Mchanga katika kaburi la Marehemu
Mume wa Marehemu Loveness Ndibalema akiweka Shada katika kaburi la Mke wake
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmad Msangi akiweka Shada la Maua katika kaburi la Marehemu
Mmoja wa wanafamilia akisoma wasifu wa Marehemu
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akitoa nasaha wakati wa Mazishi ya Marehemu Loveness Ndibalema.
Msemaji wa Familia akitoa neno la Shukurani wakati wa mazishi ya Marehemu Loveness Ndibalema.
Na Mbeya yetu Blog
No comments:
Post a Comment