Usije ukajidanganya kumuona mumeo au mkeo eti anarudi nyumbani mapema na weekend hatoki ukadhani uko salama.
Sasa hivi ile lunch time kuanzia saa
saba mpaka nane huko maofisini ibilisi anakuwa ameshika usukani,
ikizingatiwa sasa kuna mahotel mazuri pande kariakoo, manzese, magomeni
zile zinakuwa zimejaa ikifika muda huo, wake za watu na waume za watu
wanakuwa wanacheza mechi za kirafiki watch out.
Hili halina ubishi
No comments:
Post a Comment