Mwonekano wake kwa pembeni pia nyumba ina maji na umeme
Umbali wa mita kama 7 ni barabara ya lami ina hati yake kamili
Nyumba hii ipo Ndiuka ina maji inauzwa Tsh milioni 29
ina huduma ya maji imepigwa lipu ndani umeme nguzo ipo nje ila maeneo haya bado hayajapimwa mkataba upo
Mwonekano wake wa nyuma
kutumba kwa mawasiliano na maelewano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0754 026 299
No comments:
Post a Comment