CHAMA cha
Mapinduzi kimesema hakina muda wa kujadili watu waliokataa ama kukubali
mchakato wa Katiba mpya katika Bunge Maalum la Katiba.
Kauli hiyo
imetolewa leo na Katibu w itikadi na Uenezi wa Chama hicho Naoe Nnauye
wakati akizungumza na waandishi kuhusiana na vikao vya Halmashauri Kuu
ya CCM vinavyoendelea mjini hapa.
Alisema chama hakina sababu ya kufanya hivyo keani lengo lilikuwa ji kuoatikaana kwa katiba na tayari imepatikana.
Alisema eanaofai kwamba vikao hivyo vitajadili watu waliokuwa wakitaka mchakato usitishwe wana uwezo mdogo wa kufikiri.
"Sisi hatuwezi kujadili watu,keani hakuna msingi wala tija kwa wananchi na taifa kwa ujumla,sisi tunajadili hoja.
"Hakuna muda wa
kujadili watu ,sisi tunajadili hoja,chama hakina muda wa kujadili
watu,bali kinatakiwa kujafili ni tulipotoka,tulipo na
tunapikwenda,kujadili watu hakusaidii nchi ,chama wala mchakato
wenyewe wa katiba." alisema Nape
Alisema
,wanaogukiri vika hivyo vya juu vy achama hicho vitajadili watu,
wanatumia akili ndogo kufikiri,ili mradi mchakato ulifanyika vizuri na
katiba imepatikana kwa nini tujadili watu,hoja za msingi ni kujadili
mambo ya kulijenga taifa letu
"Kujadili watu
hata sisi akili yetu itakuwa siyo nzuri sana, sula la nani alikataa na
nani alikubali hiyo haina msingi kwa sasa." alisema Nape
Pia alisema kikao cha Kamati kuu kilichofanyika juzi kimefanya uteuzi Wa makatibu wa wilaya 27 wa CCM.
Kuhusiana na ucahguzi wa serikali za mitaa,alisema pia chama hicho kumejipanga kuhakikisha kinashinda kea kishindo.
No comments:
Post a Comment