Saturday 16 August 2014

HUYU NDO Irene UWOYA MWENYEWE...Hataki KUVAA............

Irene Uwoya Chizi , Asema Apendi Vazi Linaloitwa Chupi aka Kufuli

Udaku Specially on Saturday, August 16, 2014 
Mrembo na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya burudani ya VIBE.

Alipoulizwa na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lake,  “Chupi – sipendi kabisa hilo vazi” Alisema Irene uwoya. Hatari sana hii....