Sunday 14 September 2014

NANI HAPENDI::Kumbe Wanaume Nao Wanapenda Huhongwa Kama Wanawake



Katika mapenzi Kila mtu anapendwa kuhongwa na Mpenzi wake haijalishi ni Mwanaume au Mwanamke,

Tatizo linalo kuja hapa ni kwamba wahongaji wakike ni wachache kuliko wanaume,

Ukipata mwanamke anayekupa hela, mwanaume huwanga tunafulahi sana, tunapopewa hela na wapenzi wetu wa kike.

"SIYO WANAWAKE TU WANAOPENDA KUHONGWA"

No comments:

Post a Comment