Sunday 14 September 2014

WHAT A SNAKE??WAJENZI WAGUNDUA NYOKA MKUBWA DUNIA NZIMA WAKATI WAKIJENGA BALABALA MTAZAME HAPA


Nyoka mkubwa amegunduliwa na wajenzi wa balabala ,ukiambiwa saizi yake na ukubwa wake kwa ujumla huwezi kuamini,unaweza ukafikiri kwamba ni stori za kusadikika kumbe ni kweli

Hata hivyo tunaweza kusema kwamba hiyo picha sio halisi ukubwa wake unaweza ukawa umekuzwa tu kutoka kwenye engo ya kamera

Pamoja na hayo nyoka huyu bado ni mkubwa sana kuwahi kuonekana kwa hao wajenzi wa barabara.Inafanana na nyoka ile ambayo iligunduliwa huko kusini mashariki mwa bala la asia

No comments:

Post a Comment