Monday 15 September 2014

SIASA YETU::KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ally Kessy(kulia) na Mohammed Raza (kushoto) wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha arobaini cha Bunge hilo.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma wakati wakielekea kuhudhuria kikao cha arobaini cha Bunge hilo.

No comments:

Post a Comment