RAIS KIKWETE ASAFIRI KWA TRENI YA TAZARA KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA MOROGORO
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipanda treni ya TAZARA
kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.
Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera, Mbunge wa Morogoro Kusini
Mhe Innocent Kalogeris na KAtibu wa Rais Bw. Prosper Mbena wakiongea
ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya
Rais Kikwete kuelekea Kisaki mkoani Morogoro.
Mama
Salma Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli, Mkurugenzi
Mkuu wa TAZARA Bw. Ronald Phiri (kulia) na viongozi wengine ndani ya
behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari ya Rais Kikwete
kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa Morogoro
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ndani ya behewa maalum la VIP la treni la
TAZARA wakati wa safari ya Rais Kikwete kuelekea Kisaki katika ziara
yake ya mkoa wa Morogoro . Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TAZARA Bw.
Ronald Phiri zawadi ya picha ya jengo la makao makuu ya TAZARA
akiwa ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa safari
ya Rais Kikwete kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa Morogoro.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na viongozi
wengine ndani ya behewa maalum la VIP la treni la TAZARA wakati wa
safari ya Rais Kikwete kuelekea Kisaki katika ziara yake ya mkoa wa
Morogoro.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika kituo cha
Kisaki baada ya kusafiri kwa treni katika ziara yake ya Mkoa wa
Morogoro.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakilakiwa na umati mkubwa
wa watu baada ya kuwasili katika kituo cha Kisaki baada ya kusafiri kwa
treni katika ziara yake ya Mkoa wa Morogoro.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe
Magufuli akitoa maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali
katika mkoa wa Morogoro.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment