JOKATE IS ALREADY TAKEN JAMAN.....HUYU NDO ANAEMMALIZA
Jokate Apost Instagram Ujumbe Wenye Utata Kuhusu Huyu Mwanaume.
Friday, August 22, 2014
Katika Kupita Pita kutafuta Umbea wa Leo
Udaku Special Nimekutana na Picha alizopost Jokate Akiwa na Mwanaume
Mmoja Kutoka Kenya Anayejulikana Kwa Jina Nick Mutuma , Jokate Mwogelo
Ameandika Katika Hiyo Picha Kuwa "Huyu Ananimaliza nampeleka kwa Babu wangu wa Kingoni" .
Jokate is Taken Jamani
No comments:
Post a Comment