Wanawake Hufurahishwa na Vitu Vidogo Vidogo Sana Hakuna Haja ya Gharama
Udaku Special Limebaini Kuwa Sasa hivi
imekua ni kawaida mtu kutumia pesa nyingi labda kumpeleka mpenzi wake
kwenye mahotel makubwa au kumnunulia vitu vya thamani ili kumuonyesha
mapenzi, ila ukweli ni kwamba unaweza ukafanya hayo yote ukajiingiza
kwenye gharama kubwa na matumizi usiyotarajia bila mafaniko. Mwanamke
haitaji vyote hivyo mwanamke anahitaji muda, tumia muda mwingi kuwa nae,
muonyeshe unamjali, tatizo lake chukua liwe lako. Mpe kidogo ulicho
nacho na kitoke moyoni, Usilazimishe mambo utamboa, fanya ajiamini ukiwa
nae, kuwa na misimamo yako usiyumbe yumbe katika maamuzi, Usiogope
kumwambia hisia zako kwake, kwani wanawake wanapenda mtu anayejiamini.
Fanya hayo utaona matokeo yake..!!
No comments:
Post a Comment