Lulu Michael Aonyesha Kadi ya Gari yake Mpya, Aseme yeye si Kama Wakina Nanii Wanaohongwa
Kwa Kuonyesha kuwa yeye ni Tofauti na
Mastaa Wengine wa Kike Walioingia katika Mkumbo wa Kuhongwa Magari
wakati kadi ya Gari lina jina la muhongaji ambayo upelekea kunyang'anywa
Penzi likiisha Mrembo Lulu Michael Ameonyesha Kadi ya Gari Lake Jipya
aina ya Rav 4 New Model ,
Lulu Amesema yeye si Mswahili ndo maana
ameamua kuonyesha kadi ya gari yenye jina lake ili kutowapa nafasi watu
kusema amehongwa , Ameongeza kuwa yeye si kama wakina nanii ambao
waliohongwa na kunyang'anywa magari... Hongera sana
Lulu Michael Kwa Gari Jipya.
No comments:
Post a Comment