Mkuu
 wa Mkoa wa Mbeya Mh, Abbas Kandoro akiongea na Madereva na Abiria leo 
asubuhi saa kumi na moja katika kituo Kikuu cha Mabasi Mbeya
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi wa kwanza kulia akiwa katika mkutano huo
Baadhi ya Madereva, Abiria na ma Agent wa mabasi wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
Mabasi yakianza kuondoka
Picha na Mbeya yetu
No comments:
Post a Comment