VITUKO::Rihanna Awashtua Watu Kwa Kubeba Bunduki Hadharani
Rihanna
Mwanamuziki Asieisha Vituko Ameamua Kubeba Mkoba Unaofanana Na Bunduki
Huku Akijiachia Nao Hadharani Kitu Ambacho Watu Wamejikuta Wanamshangaa
Na Kujiuliza Maswali Mengi Bila Kupata Majibu Na Sio Mara Ya Kwanza
Kubebea Mikoba Inayofanana Na Vitu Vya Aina Mbalimbali
No comments:
Post a Comment